魔镜歌词网
魔镜歌词网 > 欧美歌手 > Cloudy 9 > KiBuBu

Cloudy 9



歌词
专辑列表

Cloudy 9

KiBuBu

[Intro:Cloudy 9]
Waaooh!
Cloudy 9 aaah!
Mkwawa on the beat
Icebox Music
IBOX
Waaoh!

[Verse 1: Cloudy 9]
Kibubu, Bank yangu ya ghetto
Inanifanya mara nyingi natimiza zangu ndoto
Sihitaji riba maana usawa unakaba
Bora kwenye haba haba hapa najaza kibaba
Ziwe sarafu ama noti, natupia pale kati
Hesabu zangu zipo wazi sihitaji Bank Account
Na siwezi lipa kodi nifaidishe mafisadi
Kodi kwenye huduma, bidhaa pia zapiga hodi
Taasisi za fedha mmenikosa kabisa
Miamala yangu naiendesha bila hofu ya pesa
Hakuna foleni natumia navyotaka
Huwezi ukazuia matumizi umenipata

[Hook: Cloudy 9 & Mkwawa]
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Bank yangu ya ghetto
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Hii ndio Bank yangu ya ghetto
Sihitaji riba maana usawa unakaba
Bora kwenye haba haba hapa najaza kibaba
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Bank yangu ya ghetto
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Hii ndio Bank yangu ya ghetto

[Verse 2: Cloudy 9]
Money in, money out, all bout the cash flows
Tryna raise the money high, big stacks, bank-rolls
No ATM, Strong-room, even Bank-vaults
I got kibubu a.k.a Safe money box
You can never steal cuz u know i got the money
If you wanna get it come follow iringa town
I'm from the ghetto but I wanna be rich
I save the money cuz Im gonna be rich
If you got no money please dont disturb
She wanna be with me cuz I got it kibubu
Hakuna foleni natumia navyotaka
Huwezi ukazuia matumizi umenipata

[Hook: Cloudy 9 & Mkwawa]
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Bank yangu ya ghetto
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Hii ndio Bank yangu ya ghetto
Sihitaji riba maana usawa unakaba
Bora kwenye haba haba hapa najaza kibaba
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Bank yangu ya ghetto
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Hii ndio Bank yangu ya ghetto

[Bridge: Cloudy 9 & Mkwawa]
Nkivunja Kibubu utanikuta Magic Site
Nkivunja Kibubu ni Bwawani Camp Site
Nkivunja Kibubu ni Ruaha National Park
Isimila, Kalenga, Ziwa Nyasa, Mbeya City

[Repeat]
Nkivunja Kibubu utanikuta Magic Site
Nkivunja Kibubu ni Bwawani Camp Site
Nkivunja Kibubu ni Ruaha National Park
Isimila, Kalenga, Ziwa Nyasa, Mbeya City
Uwiiiiiih,.Waaao!

[Outro: Mkwawa]
Kwa wale wenye vibubu
Counting the money down
Tukutane kwenye starehe,..
Hahah, Mkwawaaaa...

[Outro: Cloudy 9]
Icebox Music..
Mkwawa on the beat mayne

[Hook: Cloudy 9]
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Bank yangu ya ghetto
Kibubu, Kibubu, Kibubu
Hii ndio Bank yangu ya ghetto
Sihitaji riba maana usawa unakaba
Bora kwenye haba haba hapa najaza kibaba
Kibubu, Bank yangu ya ghetto