魔镜歌词网
魔镜歌词网 > 欧美歌手 > Sauti Sol > Live And Die In Afrika > Sura Yako

Sauti Sol



歌词
专辑列表

Sauti Sol

Sura Yako

Nimekuchagua wewe, nikupende
Mama, sitaki mwingine
Aushi usiniache, usinitende
Mama, usipende mwingine
Moyo wangu ni mwepesi
Umenikalia chapati
Nafanya vituko kama chizi
Kukupenda sitasizi
Moyo wangu ni mwepesi
Umenikalia chapati
Nafanya vituko kama chizi,
Kukupenda sitasizi

Sura yako mzuri mama, aaaah
Mzuri mama …
Na tabasamu lako maua, aaaah
Mzuri mama …

Itabidi nikulinde, nikutunze
Mama, usikose lolot
Pete nayo nikuvishe, nikuoe
更多更详尽歌词 在 ※ Mojim.com 魔镜歌词网
Mama, usiende popote
Juu moyo wangu ushakubali
Umenikalia chapati
Nitakulinda kama polisi, Eh!
Itabidi nikumarry
Moyo wangu ushakubali
Umenikalia chapati
Nitakulinda kama polisi, Eh!
Itabidi nikumarry
Na figure yako kama ya chupa, aaaah
Mzuri Mama …
Na sura yako mzuri mama, aaaah
Mzuri mama …

Piga dansi kidogo,
Piga da.....piga dansi kidogo,
Dansi kidogo,
Piga da.....piga dansi kidogo …