- 歌詞
- 專輯列表
Sauti Sol
-
Sura Yako
Nimekuchagua wewe, nikupende Mama, sitaki mwingine Aushi usiniache, usinitende Mama, usipende mwingine Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi, Kukupenda sitasizi
Sura yako mzuri mama, aaaah Mzuri mama … Na tabasamu lako maua, aaaah Mzuri mama …
Itabidi nikulinde, nikutunze Mama, usikose lolot Pete nayo nikuvishe, nikuoe 更多更詳盡歌詞 在 ※ Mojim.com 魔鏡歌詞網 Mama, usiende popote Juu moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, Eh! Itabidi nikumarry Moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, Eh! Itabidi nikumarry Na figure yako kama ya chupa, aaaah Mzuri Mama … Na sura yako mzuri mama, aaaah Mzuri mama …
Piga dansi kidogo, Piga da.....piga dansi kidogo, Dansi kidogo, Piga da.....piga dansi kidogo …
-
|